Pre GE2025 Wakili Madeleka: Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota Magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu; "Kuna ugeni wa Marais"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Screenshot 2025-01-27 085732.png

Screenshot 2025-01-27 085755.png

Pia soma:
~
Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
~ VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
 
Mfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo yeye akifurahia keki ya ubalozi wa Sweeden aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.

Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
 
Mfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo akimfurahisha keki ya ubalozi lanukaya aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.

Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Kilewo: Lema umemtosa HOME BOY Aikael

Wachagga mna shida sana 😂😂
 
Habari wa Jf,
Kinachoendelea kwa DR.SLAA ni mipango ya Maafisa Vipenyo kushilikiana na Yeye mwenyewe.
Hiki kinachoendelea kwa sasa ni Usukumaji wa kete kwenye mchezo wa Draft ili Vipenyo watimize mipango yao.
Mipango iliopo hapa ni DR.SLAA kurejea Chamani,wanamkalisha huko na kumnyima zamana ili tupige kelele akitoka tumuone shujaa,kaonewa na Dola ikishilikiana na ccm.Ila hiki ni kirusi kinatengenezewa njia ya kurudi chamani
Ila sitosahau walicho tufanyia yeye na Prof.LIPIMBAVU mwaka 2015
 
Ndio umefikiria hapo mwenyewe
 
Dr. slaa akirudi chadema basi upinzani tena Hapana!
 
ccm.Ila hiki ni kirusi kinatengenezewa njia ya kurudi chamani
Ila sitosahau walicho tufanyia yeye na Prof.LIPIMBAVU mwaka 2015
 
Wahitaji dhamana wako wengi hadi hiyo tarehe 30.....si Dr.Slaa tu...

#Nchi Kwanza!
 
Back
Top Bottom