JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wakamtoa mahabusu kwa nguvu?Chadema waliomtuma hata sio agenda kwao kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.........!
Kilewo: Lema umemtosa HOME BOY AikaelMfumo Haki wa nchi hii una shida.
Ila huyu Mzee na yeye asote kidogo ni zamu yake hii maana wakati Mbowe anasota gelezani huku watu tukipiga makelele kwamba si Gaidi, Mzee alijitokeza akatuambia sisi wananchi tunajuaje kwamba Mbowe si Gaidi? akatushauri tusubiri mahakama iamue kwani mambo mengi sisi hatuyajui, wakati huo akimfurahisha keki ya ubalozi lanukaya aliyozawadiwa na jiwe kwa njia ya kuwasaliti CDM akiwa Katibu Mkuu.
Toka siku hiyo huyu mzee nikajua ni mchumia Tumbo pasee!!
Ndio umefikiria hapo mwenyeweHabari wa Jf,
Kinachoendelea kwa DR.SLAA ni mipango ya Maafisa Vipenyo kushilikiana na Yeye mwenyewe.
Hiki kinachoendelea kwa sasa ni Usukumaji wa kete kwenye mchezo wa Draft ili Vipenyo watimize mipango yao.
Mipango iliopo hapa ni DR.SLAA kurejea Chamani,wanamkalisha huko na kumnyima zamana ili tupige kelele akitoka tumuone shujaa,kaonewa na Dola ikishilikiana na ccm.Ila hiki ni kirusi kinatengenezewa njia ya kurudi chamani
Ila sitosahau walicho tufanyia yeye na Prof.LIPIMBAVU mwaka 2015
Hao wageni wanaenda mahakamani? Tuwe serious basi!Kilewo: Lema umemtosa HOME BOY Aikael
Wachagga mna shida sana 😂😂
Habari wa Jf,
Kinachoendelea kwa DR.SLAA ni mipango ya Maafisa Vipenyo kushilikiana na Yeye mwenyewe.
Hiki kinachoendelea kwa sasa ni Usukumaji wa kete kwenye mchezo wa Draft ili Vipenyo watimize mipango yao.
Mipango iliopo hapa ni DR.SLAA kurejea Chamani,wanamkalisha huko na kumnyima zamana ili tupige kelele akitoka tumuone shujaa,kaonewa na Dola ikishilikiana na ccm.Ila hiki ni kirusi kinatengenezewa njia ya kurudi chamani
Ila sitosahau walicho tufanyia yeye na Prof.LIPIMBAVU mwaka 2015
Miundo Mbinu haijitosheleziHao wageni wanaenda mahakamani? Tuwe serious basi!
Huna akili.Chadema waliomtuma hata sio agenda kwao kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.........!
Kukiwa na ugeni kumbe sheria na haki zinakuwa likizo?
Pia soma:
~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
~ VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
huyu ni jaji gani?

Ndio...Kukiwa na ugeni kumbe sheria na haki zinakuwa likizo?
Chadema waliomtuma hata sio agenda kwao kweli kila mchuma janga hula na wa kwao.........!