R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jul 6, 2026 #1 Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika; "Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA" Soma pia PostGE2025 - Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana, tutakayemkamata tutamtahiri bila ganzi Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita "Mbwa Mwitu". Ukiandamana Sabasaba wanapita na maini yako Jeshi la Polisi imeendelea kubaini wanaohamasisha vurugu safari hii hawaji kinyonge watahakikisha wanaua baadhi ya Viongozi na Askari
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika; "Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA" Soma pia PostGE2025 - Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana, tutakayemkamata tutamtahiri bila ganzi Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita "Mbwa Mwitu". Ukiandamana Sabasaba wanapita na maini yako Jeshi la Polisi imeendelea kubaini wanaohamasisha vurugu safari hii hawaji kinyonge watahakikisha wanaua baadhi ya Viongozi na Askari