Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Watekaji wakamatweNini kifanyike
Natamani sana kuiona picha ya Faustin Mafwele.View attachment 3081302
Mwenyekiti wa Chadema ni miongoni mwa Wananchi Waliohudhuria kesi iliyofunguliwa na Wadau Mbalimbali kuhusu kutekwa kwa Viongozi wa Bavicha Temeke.
Wadau hao wanaomba vijana hao wafikishwe Mahakamani na kushitakiwa ikiwa wanazo tuhuma zozote kwa vile inafahamika kwamba Walikamatwa na Polisi
Hata hivyo Dkt Slaa aliwahi kudokeza njama za Watekaji kupanga kumuua mmoja wa vijana hao na kumtupa kwenye pori moja lililo karibu na DSM, huku Mwenyekiti wa Chadema akimwanika kiongozi wa Watekaji ambaye ni ofisa wa Juu wa Jeshi la Polisi anayeitwa Faustin Mafwele.
View attachment 3081305
"Ushahidi unajaa Fuso mbili" unajua maana yake, tena ni pamoja na ushahidi wa Kielektroniki?!ivi chadema wamewahi kuishtaki serikali na wakashinda kesi? ukiacha zile ambazo huwa serikali inafungua kuwashtaki lkn wao chadema wakashinda..
Faustin Mafwele auwaweNini kifanyike
mkuu cjauliza kuhusu ushahidi mm nimeuliza kama wamewahi kuishtaki serikali na wakashinda kesi.."Ushahidi unajaa Fuso mbili" unajua maana yake tena ni pamoja na ushahidi wa Kielektroniki.
Watashinda kwenye hii.mkuu cjauliza kuhusu ushahidi mm nimeuliza kama wamewahi kuishtaki serikali na wakashinda kesi..