Jaji Warioba alikwisha fanya yote hayo, ni sasa ni wakati wa kubariki katiba iliyopendekezwa na Warioba!Sio vyama vya upinzani tu, Bali jamii mbalimbali zote za watanzania. Vyama vya siasa vinaweza visiwe na majibu kwa changamoto za watanzania wote, lakini katiba inapaswa kuwa na majibu au kutoa muongozo wa majibu hayo.
Sio kubariki tu, Bali kuiboresha kwa kamati ndogo wataalamu na makubdi muhimu uwakilishi, CCM walifanya yao kwa wingi wao.Jaji Warioba alikwisha fanya yote hayo, ni sasa ni wakati wa kubariki katiba iliyopendekezwa na Warioba!