Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii kulivuja video ambayo ilikuwa inamuonesha Mjasiriamali na mtu maarufu mitandaoni, Lemutuz akiwa utupu hatimaye Wakili Msomi Alberto Msando ametoa neno akimshauri jambo la kufanya katika kipindi hiki kigumu kwake.

Wakili Msando amesema kuwa tatizo sio kuonekana akiwa uchi bali tatizo linakuja pale watu wanavyotumia nafasi hiyo kumdhalilisha na kumdhihaki huku akimtaka Lemutuz akae kimya kwani ndio suluhisho pekee lililobakia.

Ushauri wangu (unaweza ukawa wa kipuuzi na usio na maana) ni mwepesi. Endelea na maisha yako. Pambana kuijenga Le Mutuz TV. Endelea kuelimisha na Straight Talks zako. Endelea kufurahia maisha. Usijibizane na wanaokutukana. Usiwashambulie wanaendelea kukudhalilisha. Fanya yale yanayokupendeza na kukufanya uwe bora zaidi. Na zaidi ya yote jifunze kutokana na hili.“ameandika Alberto Msando kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kwa upande mwingine Msando amesema tatizo sio kuwa na Kibamia (Tafsiri ya Kibamia ni uume mdogo) kwani kwenye jamii yetu wapo watu wengi wanaishi na vibamia ila amechukizwa na jinsi watu wanavyomshambulia.

Kosa sio ‘kibamia’ au kujifuta ulipotoka kuoga. Wengi sana wana ‘vibamia’ na wanaoga na kujifuta. Wengi wamekutana navyo na wanaishi navyo. Wala hakuna kosa kuwa na kibamia. Utu na heshima yako ni zaidi ya kila kitu. Ni huzuni kwamba unadhihakiwa, unadhalilishwa kwa sababu hiyo. Haya ndio mambo wengi wanayapenda na kufurahia,“ameandika Msando.

Soma ushauri wote wa Alberto Msando kwa Lemutuz hapa chini;

Kaka na rafiki yangu @lemutuz_superbrandtz; Nimetamani sana nikae kimya upambane na ‘msala’ wako mwenyewe. Lakini nimeshindwa. Nimeshindwa kwa sababu naelewa na najua inavyokuwa pale unapopitia unachopitia. I have been there.
Niseme kwamba kwa comments zote unaweza sasa kuelewa kiasi cha chuki dhidi yako. Kiasi cha furaha kwa maadui zako. Lakini ndani yake usiache kuona kiasi kidogo cha upendo na huzuni kutoka kwa marafiki zako.

Kosa lako ni kuruhusu kile ambacho wengi wanafanya kufika hadharani kwa kuwa karibu na kumpa nafasi aliyefikisha. Hilo ndio kosa lako la kwanza. “Kosa” la pili ni unavyoishi. Umeamua kuishi maisha yako vile ambavyo wewe mwenyewe umechagua. Kuna wengi wanakereka bila hata sababu. Ni maisha yako!

Kosa sio ‘kibamia’ au kujifuta ulipotoka kuoga. Wengi sana wana ‘vibamia’ na wanaoga na kujifuta. Wengi wamekutana navyo na wanaishi navyo. Wala hakuna kosa kuwa na kibamia. Utu na heshima yako ni zaidi ya kila kitu. Ni huzuni kwamba unadhihakiwa, unadhalilishwa kwa sababu hiyo. HAYA NDIO MAMBO WENGI WANAYAPENDA NA KUFURAHIA. Sad.

Ushauri wangu (unaweza ukawa wa kipuuzi na usio na maana) ni mwepesi. Endelea na maisha yako. Pambana kuijenga Le Mutuz TV. Endelea kuelimisha na Straight Talks zako. Endelea kufurahia maisha. Usijibizane na wanaokutukana. Usiwashambulie wanaendelea kukudhalilisha. Fanya yale yanayokupendeza na kukufanya uwe bora zaidi.
Na zaidi ya yote JIFUNZE kutokana na hili.




Bongo 5
 
Mteule wa Mwenyekiti wa CCM ya Mwalimu Nyerere usingemkuta anashauri kuhusu vipimo vya uume mfupi na mrefu, angemkamata akamtandika fimbo kwa mikono yake halafu angempeleka kufungiwa quarantine kijijini kwake ajifunze taadhima na heshima mbele ya umma.

Unapokuwa na Mwenyekiti ndio kinara wa mihemko na matusi majukwaani unakuta wateule wake wanamnakili.

Ndio haya anayoyakataa Nape Mnauye, ya kusomba mja yeyote mtaani unampa jukwaa na ma vyeo, sasa wanakuja kukivua nguo chama.
 
Nimemshangaa sana Alberto Msando. Kwanza kamsifia Lemutuz kwa style yake ya Maisha. Style ya maisha aliyoyachagua lemutuz ni ya teenagers na ameingia kucheza chandimu. Sasa msando unapowatolea povu mashabiki teenagers tena wa chandimu wanapomjibu Lemutuzi unakosea sana. Ukiingia kwenye chandimu usiyegemee wakuchezee kama VPL na hata mashabiki wake ni tofauti na VPL. Wewe ungemshauri rafiki yako katika umri alionao aachane na chandimu pamoja na maisha ya ni teenagers. Yale majibu anayoyapata ni halali kabisa kutokana na maisha aliyoyachagua mtu mzima. Angekua anashambuliwa na watu wazima kama akina Mbowe, pole pole kwa kweli tungesema anakosea lakini wale wanaomshambulia ndo hao wenye maisha aliyoyachagua.
 
Nninachoona hapo msando kaamua kuurudisha mjadala uliokuwa umepoa.na ambao sio tu ni wa kipuuzi bali unaonyesha namna watz tunavyopenda kushabikia udhalilishaji.
Ulipaswa kupuuzwa kwanza na mhusika mwenyewe lakini pia na waungwana wote.Le Mutuz nampenda kama binaadam mwenzangu kama mtanzania.lakini sipend baadhi ya mambo yake na post
zake mtandaon.ila sipendi pia udhalilishaji unaoendelea ,pamoja na kwamba kaamua awe hivyo ila tujue ni mtu mzima yule.
 
Vitu vingine wawaachie vijana .Ndo maana wanazalilika kwenye mitandao uyo msando ana mika 52 alafu anajiita kijana uyo Lemutuz ana 60+ alafu anajiita kijana yaan awana jipya awo ..mtu ukifikisha kuanzia mika 45 unabid utafte mtandao unaoendana na umri wako ...lakin Instagram inakuwa sio level zako tena ..Lemutuz kinachomfanya asijielewe ni umri kuwa mkubwa na msando pia...kazi yao kujiita vijana ..wakat the power is over..
 
Huyu anazidi kunenepesha kesi tu mi nlikuwa hata sijui kama kuna video ya huyo kada wa ccm
 
Of course, hakuna kosa kuwa na kibamia. Its not anything you can control.

Having a small penis is not a crime. It does not define manhood. It does not make you a lesser man.

Being a man is alot different from just having a small penis. A penis just defines your gender.

Besides sexuality being a man is about how you stay the dominant sex, how you fend for your family, how you make ends meet, how you raise your family, how you make your presence felt and your purpose fulfilled in this world.
 
wezi ni wengi ila hawana kosa kwa kuwa hawajakamatwa,kosa la Le Mutuz ni kukamatwa na kibamia chake,hahahah hivi kumbe hii issue bado inamsumbua Le Mutuz,mtaacha aw modal sas hvi kwa lazima
 
Huyo Msando apeleke huo ushauri kwa ndugu zake....sio kwa Lemutuz...Kumshauri MOBIMBA, Lemutuz KOKOBANGA anyamaze ni kuwapa ushindi maadui zake acha aendeleze mapambano maana Lemutuz Mobayee SOCIAL media inamlipa na anapenda hiyo shughuri, kwa hiyo kujibizana na watu ni moja ya shughuli yake amuache....
Kwanza kumwambia Lemutuz Kokobanga anyamaze ni kutunyima raha sisi mashabiki wake maana wengine sisi Lemutuz utufurahisha jinsi anavyojua kupigana vita peke yake bila kutafuta mbeleko yeyote,,,,...

Katika kipindi ambacho nimpa nyota tano Lemutuz Kokobanga ni kipindi hiki cha sakata la OKRA. Kwakweli ingekuwa ni mwingine aiseee kwa sasa nagekuwa anatamani kujiua au angejificha mwaka mzima kabisa....Kwakweli Lemutuz mshipa wa aibu haupo kabisa na guts zake zimepitiliza kabisa.......Kwakweli hadi hapa naona ameanza kufanikiwa kulizima ili sakata maana amejua jinsi ya kushughulika nalo.....
Kwakweli msando aendelee na kufanya uhakiki wa mali za chama haya mambo mengine hana uwezo nao.....huo ushauri kamwe hauwezi kupokelewa na Lemutuzi Kokobanga.

MsandoAlberto acha kupoteza muda wako
 
Huyo Msando apeleke huo ushauri kwa ndugu zake....sio kwa Lemutuz...Kumshauri MOBIMBA, Lemutuz KOKOBANGA anyamaze ni kuwapa ushindi maadui zake acha aendeleze mapambano maana Lemutuz Mobayee SOCIAL media inamlipa na anapenda hiyo shuhuri, kwa hiyo kujibizana na watu ni moja ya shughuli yake amuache....
Kwanza kumwambia Lemutuz Kokobanga anyamaze ni kutunyima raha sisi mashabiki wake maana wengine sisi Lemutuz utufurahisha jinsi anavyojua kupigana vita peke yake bila kutafuta mbeleko yeyote,,,,...

Katika kipindi ambacho nimpa nyota tano Lemutuz Kokobanga ni kipindi hiki cha sakata la OKRA. Kwakweli ingekuwa ni mwingine aiseee kwa sasa nagekuwa anatamani kujiua au angejificha mwaka mzima kabisa....Kwakweli Lemutuz mshipa wa aibu haupo kabisa na guts zake zimepitiliza kabisa.......Kwakweli hadi hapa naona ameanza kufanikiwa kulizima ili sakata maana amejua jinsi ya kushughulika nalo.....
Kwakweli msando aendelee na kufanya uhakiki wa mali za chama haya mambo mengine hana uwezo nao.....huo ushauri kamwe hauwezi kupokelewa na Lemutuzi Kokobanga.
Mimi nilisema aibu labda aione mzee Malecela lakini si Kokobanga Le Mutuz
 
Of course, hakuna kosa kuwa na kibamia. Its not anything you can control.

Having a small penis is not a crime. It does not define manhood. It does make you a lesser man.

Being a man is alot different from just having a small penis. A penis just defines your gender.

Besides sexuality being a man is about how you stay the dominant sex, how you fend for your family, how you make ends meet, how you raise your family, how you make your presence felt and your purpose felt in this world.
Mtani Joseverest njoo na huku unitafsirie hii comment🙁🙁
 
Back
Top Bottom