Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Viini macho hivyo ... Bunge lina wajumbe 393 ambao wote ni matokeo ya mbeleko za ccm isipokuwa mmoja wa upinzani!Kwani maana ya kuishauri Serikali nini ?
Au unamaanisha kila anachoamua Raisi Bunge letu linakubali.
Basi hakuna haja ya kuwa na Bunge.
Raisi anatosha.
Bunge Livunjwe.
Makuwadi waliiba mchongo mzima wakibakia kuwasinginzia DP World!Nimeona Uturuki Kuna Bandari wamiingia Ubia na DP W Kwa mgao wa asilimia 52 Kwa 48 sio sawa na huu wa Mama
Nahuhakika mkataba wetu ilikuwa na jambo la Siri Sana ndiyo maana tukaanza kuona akina Abduli wanaenda Kwa Mu7 kuuza Ummeme Sola
Haya mambo yatakuja kujulikana tu
Kitenge na New modell Prado
Masikini akipata matako hulia mbwata walio andika methali sio wajinga tutajua tu nawatu wataabika mchana kweupeee
tuna wawakilishi wa hovyo katika historia ya Tz toka tupate uhuru!Nasikitika sana kuhusu Bunge letu.
Yani Bunge limebaki kuitikia tu kila kinacholetwa na Serikali.
Leo hii tunawategemea watu binafsi kuliokoa Taifa letu dhidi ya uvamizi wa maharamia wanaokuja na vazi la kondoo.
Leo hii tunawategeme viongozi wachache wa Dini kufanya kazi ya Bunge.
Hivi Wabunge wote kweli hawakuliona hili?
Yaani Bandari zote za Bahari, Mito na Maziwa kamiliki kakampuni kamoja ka huko Dubai kweli ?
Kampuni ambayo tunaweza kuiajiri na tukailipa.
Hili Bunge tutaliamini vipi tena kesho ?
Binafsi nawashukuru sana SHURA YA MAIMAMU TANZANIA na BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA kwa kusimamia kidete bila kupepesa macho na kulitetea Taifa letu kwa jasho na Damu.
Kama Mlinzi wetu Mkuu anakavulia madaraka yake kakampuni ka mji wa Dubai hakika ametukosea sana.
Tulimwamini sana na kumtegemea bila wasi wasi.
Sasa hivi tuna wasiwasi mkubwa sana na vyombo vyetu vya ulinzi wa raslimali zetu.
Kabisa MkuuTukipata kina Mwabukusi kama 50 hivi TZ itapata Uhuru wa pili kutoka kwa Mkoloni Mweusi.
Lakini ni suala la muda tu Mkuu.Ndiyo maana tunawatamani Gabon
Mwamba hataki upuuzi kwenye mali za umma.Kama hutaki kukosolewa Toka kwenye Ofisi za umma,,kakae na mkeo... Nyumbani,, hahaaaaa Huyu mutu