Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

Haki husimama na itakuwa labda Kwa udharimu
 
Kimsingi PGO inawatesa sana maana Huwa hawaifuati. Wanachofanya ni ubabe na udharirishaji . Hapo ndipo wanapigwa na Mawakili walishajua udhaifu WAO. Wapigwe tuuuu
 
Wamezoea kuwabambikia kesi watu wasio na msaada wa mawakili thabiti lakini sasa wanaumbuka kwa ushetani wao
Na hao ndio walinzi wetu ambao vichwani yaliyomo ndo kama hayo. Nchi hii tuna matatizo mengi sana
 
Nchi imekua ya kisengerema sana hii..
Mnatesa watu kwa kuwa tu CCM haiwezi kushindana kisiasa na CHADEMA.

Mammae zako mwanasesere wa Polepole.

Mheshimiwa Mbowe sio GAIDI aachiwe huru na tume huru ni lazima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #WakiliWaJamhuri: Objection Mheshimiwa Jaji. Tunaomba maswali ya Kibatala yazingatie utu na kuacha udhalilishaji.
Kilakitu nikatiba(sheria mama)na hiyo PGO ,
Ndomana tunaambiwa katiba ni chokochoko

Jaman

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Hivi Kodi zetu ndiyo zinamlipa mshahara na lesheni huyu mahita,Kama ndivyo basi Ni matumizi mabovu ya Kodi zetu.hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma mpumbavu kiasi hiki.kama huwezi kuwa shahidi feki kwa Nini ukubali kutoa ushahidi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 #WakiliWaJamhuri: Objection Mheshimiwa Jaji. Tunaomba maswali ya Kibatala yazingatie utu na kuacha udhalilishaji.
Dah,ndo nimejua leo kumbe ukiulizwa swali likakushinda kujibu unakuwa umeondolewa utu,
najiuliza utu wa mtu si ni pamoja na kujibu ulichoulizwa?
 
Reactions: BAK
Unamkamata mtuhumiwa wa ugaidi kisha unatembea naye ili akusaidie kutafuta gaidi mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]

Tz sihami.
Hahahaah

Gaidi ananunuliwa nyama choma na mo energy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna upumbavu nisiotaka kusikia eti wakili msomi.
Wtf nyie madebe mnatuaminisha.kuna wakili hajazama darasani?Kina Masha,Magai ,Imma hawa wakongwe na mkono wamepiga kazi haswa ya sheria
 
Kwanza walikaa vutuoni zaidi ya saa 48 pasipo kuwafikisha mahakamani, Polisiccm wanaenda kuumbuka waache kutumika na CCM kuwabambikia kesi wapinzani
Ccm wameshindwa hoja wanahisi yule kuhan wao bado yupo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…