Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha magaidi It's a structural body kwahiyo sehemu ya kuonya tutaonya kwa haki na pakupongeza tutapongeza kwa haki" -Mwabukusi, rais wa TLS

wamepewa gari jipya na rais ukali wote umepotea cheza na serikali wewe? alikuwaga mkali kama pilipili sasahivi alivyopokea na zile pesa kwisha kabisa amebaki mwabukusu tuuu
Rais wa TLS ,CHAMA cha wanasheria mh Mwabukusi amewajibu wale wote wanaosema amelamba asali,
Amesema" ukiwa kiongozi unatenda kwa kalamu na sio kusema."
Kubwa kuliko yote , mwabukusi ni kiongozi ambae yuko very strong, hajaonesha uchawa wote mbele ya rais zaidi ya kusema changamoto zao za TLS, cha kushangaza kamsema mpaka spika Tulia Ackson kuwa hajatoa pesa ya wanachama, Tulia akiwa mbele anasikiliza, tuwapate wapi viongozi kama HAWA kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili jamani?
Huyo jamaa huwa hapepesi macho ukweli anausema kweupe ukiangalia ni mara ya kwanza kukutana na rais wa nchi. Kama sijakosea
Wangekuwa wengine hapo wangetaja jina la mama mara 100 bila kusema shida zao ,hakika TLS imepata kiongozi bora. Chanzo azam tv. Mungu ibariki Tanzania.
Kuna mnyukano wa chini chini kati ya viongozi wa TLS kwamba Rais wa TLS amelamba asali. Hii imekuja baada ya Rais huyo kuonekana karibu zaidi na serikali badala ya TLS.
Licha ya kukanusha mara nyingi Rais kwamba hajalamba asali lakini hivi sasa inaonekana hili swala limekuwa kubwa ndani ya TLS.
Huyu Rais wakati wa uchaguzi wa chadema alikuwa upande wa lissu na kudai mbowe Kalama asali.
Twende tuone khatma ya Rais wetu huyu