Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya upinzani nchini
Akiwa anazungumza mbele ya Chief Odemba wa Star TV, Mwabukusi alisema kuwa atafungua kesi ambayo italazimisha vyama hivi 14 vifutwe kwani vimekuwa vikileta vurugu na ukandamizaji wa mchakato kidemokrasia nchini.
Soma pia: Boniface Mwabukusi: Tuna Vyama vya upinzani havijajiandaa kuwa mbadala wa CCM. Vipo kugaiwa neema ndogo ndogo kutoka CCM
"Hivi vyama 14 binafsi nafikiria kutaka kufungua kesi vifutwe kwa sababu nataka kuomba nadhani mpaka wiki ijayo ntakuwa nimekamilisha, nataka kuomba nione ripoti zake za perfomaance ya vyama hivi kama kweli vinahitajika kuwepo kwa sababu vyama hivi vinaleta vurugu katika nchi"