Wakili Pasco-A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part III-Final

Betty Banyikwa yuko wapi siku hizi pascal

Mzee George Banyikwa (Rip) na mkewe Zera Banyikwa (Rip), (Kabila ni Wahangaza na walikuwa na mabinti 4 bomba hao, balaa!), (mtoto wa Kisukuma kutoka kijijini, kuja mjini, unakaa next door kwa nyumba yenye warembo hivi!, we acha
 
Hahaaaa!!!!bro P.
 
....they(there!) were no more.
 
stori nzuri sana, mafunzo tele.

Nje ya mada:

Nimeona sehemu umeandika “there were no more” na “Nika Opt kuchagua HGL”, naomba kuuliza kuna Msukuma yeyote unaemfaham aliesomea Tanzania ambae yupo fluent kwenye lugha ya malkia?

Binafsi sijawahi kumuona, naendelea kutafuta.
 
Ngoja Pombe ishuke uone lugha inavyotemwa usicheze na Wasukuma.
 
Yupo Jiwe, nimemsaidia, ....they were no more.
 
Ndg Pascal Mayalla unasoma hiyo reply hapo juu na kunielewa?.

Maandiko yanasemaje kwenye Mithali 29:1..?
 
Yawezekana umeshakuwa kama Lakha ila mwenyewe hujijui !! Tatizo ni moja hapa Ulimwenguni kwa MTU anayependa sana kuwa mkweli huwa anawakwaza wengi hivyo watu wengi huwa hawafurahishwi sana naye !! Ukweli huwa ni mchungu siku zote !!
 
What? Ben hakuwa na mtoto? Unasikiliza story za vijiweni na kuamini?
 
Tambaza Secondary utakuwa umefundishwa na Mwl Naomi Kaihura na Mwl Chriss Rweyemamu...
 
Aisee sijui huwa nini ila wengi walioandika stori zao kinachofuatia huwa ni habari nyingine ila sio wote lakini ni wengi.

Mengi, Mkapa, etc.
 

I didn't even bother to read your long story rather than heading, but at your age, is too late bro.
 
Hongera sana kwa simulizi yako "Learned Brother Pascal"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…