Wakili Pasco-A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part III-Final

Ila hapa alijibu kwa kutulia sana maana swali lilikuwa refu gumu na lenye mitego mingi sana. Magu alianza vizuri tatizo alidanganywa na Mkapa kuwachukia wapinzani.
Hakuwachukia wapinzani, alijua kabisa wanaweka masilahi yao binafsi mbele dhidi ya yale ya Taifa.
 
Mtoto wa Ben mkapa ni Nan?
 
Hongera sana kwa hii testimony ila pole sana kwa madhila uliyoyapata kutoka kwa vijana wa dikteta baada ya lile swali, wewe kama wakili una nafasi sasa ya kusimamia kuondoshwa hii dhana ya umungu mtu kwa rais wa Tanzania.
 
Mawakili wengi wa zama hizi wanasukumwa

zaidi na uchu/tamaa ya kutajirika zaidi badala ya

msukumo alio kuwa nao wakili Lakha wa

kutetea haki za walio onewa na haswa wasio na uwezo wa kukodi mawakili.

Mwakili wengi wa zama hizi wapo kimasilahi zaidi, hawataki kutetea mwananchi wasio na fedha, wengi wana pompous na kula bata.

naamini mawakili wakiwa na msukumo kama wako wanaweza kujitolea kuwatetea walio onewa badala ya kufikiria kutajirika.
 
Pascal compile simulizi yako, halafu uandike kitabu kwa ajili ya kuwa somo kwa vizazi vijavyo.kuna mambo mengi ya kujifunza.jina la kitabu linaweza kuwa ndoto au kiu ya kuwa wakili.
Aidha unaweza kutumia majina ya bandia au majina halisi katika kishajiisha simulizi yako.Kuna simulizi kama hizi ambazo ziliandikwa na kuwa vitabu Kama "Mine boy na Peter Abraham" etc
 
Paschal nimesoma hadithi yako
Paskali nimesoma hadithi yako Hadi Mwisho nimevuna Sana. Tuna Diwani hapa jimbo la Ukonga DSM kata ya kivule kwenye ukarani wa sensa ameweka watoto wake wawili yaani Tabitha Nyansika Getama na Yusuph Nyansika Getama wakati watu wengine wenye sifa wametupiliwa mbali. Wanachomekana tu kwa kufahamiana (nepotism/ndugunization). Msaada wako tafadhali Kama wakili msomi.
 
Mheshimiwa (you're blessed name), umewataja wakubwa fulani fulani hapo juu, japo umetoa na sababu zako, hivi kuna umuhimu wa kuwataja ?
Allah!! kuumbe wewe Mama ndenyi hujui watu na vijimambo amewataja hao!! ili JF mjue kwamba Paskali yulee wa kiti Moto cha ITV!! ni Matawi!! ......msije ona kaajiliwa na Mengi mkadhania ni wa hovyo! hovyo!

hiyo moja! pili Mmuogope km mlivyo muogopa Nyerere!!
 
Paskali wapo mawakili wengi wahuni. Anakuwa anamtetea mteja A halafu anaungana na wakili wa anayemshitaki mteja A wanaungana kusuka hukumu ili wale mpunga kwa pamoja.

Refer kesi ya Scandinavia wakili wa seif alikuwa anauma na kupuliza ili seif mali yake iwe liquidated na yeye akaibuka na utajiri baada ya mabasi kupigwa mnada.

Wewe unajitofautishaje na mawakili kama hao?
 
Wakili Paschal Mayalla; Elezea na namna siku moja baada ya baadhi ya wapuliza kitu walianzisha kitu gani kilichopelekea ghasia ya kihistoria kutokea mpaka ubakaji kwenye mabweni ya Jangwani na mapigano na Azania ulikuwaje!!!!. Wapuliza ile kitu kuwakuta wanajisomea ilikuwa nadra labda aende maktaba ya taifa kipindi hicho ni bure kabisa kuingia unajisomea, kuazima vitabu na kuwa mwanachama................mahala ambapo ukali wako wa akili ulikuwa unahusudiwa na na mademu kila wakikuona wanaanza kulumbana huyo ni wangu huyo ni wangu.......wakati anayegombaniwa wala hana habari nao!!! Lengo kuu lilikuwa kwenda Mlimani sio UDSM kama ulivyoweka hapa....................wamkumbuka mzee 'Punch' wa mlimani alivyokuwa anatesa watu? The punch was a secret social media platform of its kind by then that never graduated that has been successed by whatsapp, linkedin, facebook, telegram, twitter etc with live streaming!!!
 
nimekukubali kwa yote uliyoongea,lakini ulipokuja kujisifia kabila la kisukuma kama vile ni la maana sana,nimekudharau. ni kabila la ajabu lisilotakiwa kutawala kabisa.
 
Your political future is bleack and your law future is even bleacker, you will never ever be another Lakha, Lakha hakuwahi kuwa na chuki za kibaguzi kama zako na ndizo zinakufanya usifanikiwe kwenye siasa pamoja na kujikomba sana.
 
Your political future is bleack and your law future is even bleacker, you will never ever be another Lakha,
Maadam uzi ni wa swali kuwa nilitamani kuwa wakili kwasababu ya wakili Murtaza Lakha, na nikauliza, kwa vile sasa mimi ni wakili, jee naweza kuwa kama Lakha?.
Jibu la swali hili ni litajibiwa kwa matokeo na sio kwa maneno ama hisia!. The answer is only time ndio can reply na baada ya hapo ndipo you can assess me naweza kuja kuwa kama Lakha or not!.
Lakha hakuwahi kuwa na chuki za kibaguzi kama zako na ndizo zinakufanya usifanikiwe kwenye siasa
Nina chuki gani za kibaguzi?, nimembagua nani?.
pamoja na kujikomba sana.
Ninajikomba kwa nani ili nipate nini?!.
P
 
Hujitokeza panapo shambulizi dhidi ya upinzani, hili liko wazi angalia uungaji wako mkono kwenye habari zinazoshambulia upinzani na rejea ubaya na makosa uyaaminiyo yanafanywa na upinzani pia hata baada ya kesi ya Mbowe kufutwa ulibaki na msimamo wa uhaini alioufanya Mwanza! Kesi ikifutwa hutakiwa tufute lililotokea tuendelee na mapya, watu hukushambulia kwa sababu ya wewe kujiona ni mwanaccm bora na hukutana na viongozi huko kwenye safari zako, wewe binafsi hutuandikia tuyasome na tukuone si mwenzetu, niliwahi kuhoji kwa mwenendo wako pengine hujitambui utawezaje kuwa wakili wa wanaccm tu!
Tupo pamoja.
 
Hongera kwa kupata mhuri, pia wewe huwezi kufika popote jamii haina imani na wewe tena kama Kigogo, kuigeuka jamii ndiyo kuna kucost, hujiulizi why 2016/2017 watu walikuwa wanakusifia sn iwe kwenye TV au hapa Jamii forum? sahivi watu wanakudharau mpk hata CCM mwenyewe wanakudharau, wewe huwezi kuwafikia Maria na Fatuma Karume
 
Paschal hana mvuto tena kwenye jamii
 
Majamaa yalimshambulia sana hahaah dah, muoneeni huruma
 
Brother Pascal unaongelewa sana huku.

Jibu haya maswali.

UDC ni kazi ya fedheha. Msomi anayejielewa hawezi kukubali kuwa DC.

Imagine unahangaika na police!

Pangiwa kazi ambayo utakutana na wataaalamu either afya au elimu, kilimo hapo utatumia akili.

Mkuu wa wilaya MTU wake wa karibu ni polisi.

KAZI ya hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…