Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta kesi dhidi ya Afande Fatuma.
Pia soma: Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa, hatokabiliwa na shtaka lolote dhidi yake