Wakili Paul Kisabo akata Rufaa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma dhidi ya uamuzi wa kufutwa kesi ya 'Afande'

Matapeli hapo wanafungulia mtu kesi bila ushahidi na wanataka akamatwe ila wakikamatwa wao bila ushahidi wanapiga kelele
Acha mahakama ziamue kwa level zao usiwaite watu matapeli au majina mabaya.

Ingekuwa dada yako kafanyiwa vile usingeita watu matapeli
 
Asipowajibishwa huyo afande atatuma watu wengine wakambake binti yombo. Na safari hii watamuua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…