Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano.

Madeleka ameeleza kuwa ana imani kuwa Serikali ya awamu ya Sita itamlipa stahiki zake kama ambavyo imefanya hivyo kwa wale alioeleza kuwa waliteseka wakati wa utawala wa awamu iliyopita akitoa mfano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Credit Global TV

Your browser is not able to display this video.
 
uungwana ni vitendo,

Tupo pamoja, tunasonga mbele pamoja na tutafika kileleni pamoja...
 
Mkuu umetoka kapa kwenye hiyo interview wakati ipo kwa Kiswahili. Ingelikuwa kwa Kiingereza je ingelikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…