Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam.
Wakili Mwasipu akiwa nje ya nyumba ya Boniface baada ya upekuzi huo amenukuliwa akisema yafuatayo mbele ya Waandishi wa Habari “Wamekuta tu Documnet fulani hivi alikuwa nafikiri alikua anaandikaandika muhtasari wa mambo yake ya kawaida”
Soma Pia: