P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 Jun 2, 2025 #1 Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.
Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.
The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,471 Reaction score 1,879 Jun 2, 2025 #2 Picha . wengine tupo mikoani
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Jun 2, 2025 #3 Wao ndio washtaki ila wanaogopa kesi kuanza kusikilizwa na wanaficha mashahidi
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Jun 2, 2025 #4 Pantosha said: Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake. Click to expand... kua na imani potofu za ushirikina ni kitu kibaya sana gentleman
Pantosha said: Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake. Click to expand... kua na imani potofu za ushirikina ni kitu kibaya sana gentleman
mtamamtete JF-Expert Member Joined Jul 28, 2020 Posts 410 Reaction score 353 Jun 2, 2025 #5 The Coin Man said: Picha . wengine tupo mikoani Click to expand... Ya nini nawe ni walewale wa Kizimkazi.
The Coin Man said: Picha . wengine tupo mikoani Click to expand... Ya nini nawe ni walewale wa Kizimkazi.