wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Dr Masumbuko Lamwai nakumbuka alinyang'anywa leseni kwa kosa kama hili akakimbilia Zanzibar na ndio ulikuwa mwanzo wa nyota yake kufifia.Waweza peleka mashitaka yako advocate committee ili ichukuliwe hatua ya kinidhamu maana hiyo ni 'professional misconduct'.