S SOKO LA MAGARI Senior Member Joined Oct 26, 2014 Posts 115 Reaction score 66 Dec 24, 2015 #1 Wakuu salama ? Tunahitaji wakili wa kujitegemea alioko MKURANGA au maeneo jirani MAPEMA Ni kwa ajiri ya kutetea kesi ya madai kuhusu BIMA na waliodhurika na ajali ya gari kwa yeyote yule anayeweza tusaidia kupata wakili mzoefu tunaomba a PM
Wakuu salama ? Tunahitaji wakili wa kujitegemea alioko MKURANGA au maeneo jirani MAPEMA Ni kwa ajiri ya kutetea kesi ya madai kuhusu BIMA na waliodhurika na ajali ya gari kwa yeyote yule anayeweza tusaidia kupata wakili mzoefu tunaomba a PM