Uwe na akili Sasa, hakuna aliyesema ni kosa kutoa taarifa lakini taarifa zinatowa kwa utaratibu maalum.Na bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?? whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k??. Jibu ilikuwa ndiyo natoa iwapo police na girlfriend wake wanania ovu, na iwapo zikitakiwa natoa. OVER
Mimi sio msomi nimesha vunja line yaoHalafu bado kuna msomi anayefuatilia hii kesi anamiliki card ya tigo???
Imagine mtu anapanga njama kumuua mtoto wako au wewe, ipi bora, Kujua anachotaka kufanya au tusubiri afanye uhalifu ndio tuanze uchunguziSijakataa law authorities kupewa data lakini iwepo kisheria. You don't just fill in a form by any Tom on request from any Dick. Pata go ahead toka Courts/judge.
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa...
Nyinyi msio vichwa maji mbona mnalialia mitandaoni? Tatizo mnalazimisha kumpa ukubwa huyo mtu wenu ambao hana hata kidogo.Jamaa ni mtu wa kawaida sana kwenye hii nchi.Duh! Kweli huko ccm Kuna vichwa maji wengi.
Hawa jamaa huwa ni wajinga sana.Mbonà hamkusema wakati Vodacom wanatoa ushaihidi kwa sabaya
Kumbe katiba ya USA ndo hiihii ya bongo?Nenda kafwatilie kesi ya USA gvt na blackberry kuhusiana na kutoa taarifa za watu...waligonga mwamba na hawakupata....hakuna kitu kinathaminiwa na watu walioendelea kama Siri za watejaaa...sio huku serikali inaweza kuzipata wakati wowowte kiurahisi kabisa....mfano mzuri ni jamii forum..just imagine kama serikali ingepata credential za wanachama huku ingekuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu nyie!Mimi sio msomi nimesha vunja line yao
Maelezo aliyoyatoa huyo bwana yana walakini mkubwa sana! Ila kwenye cross-examination alipatikana vizuri sana.Sijakataa law authorities kupewa data lakini iwepo kisheria. You don't just fill in a form by any Tom on request from any Dick. Pata go ahead toka Courts/judge.
Weqe ni KNa bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?? whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k??. Jibu ilikuwa ndiyo natoa iwapo police na girlfriend wake wanania ovu, na iwapo zikitakiwa natoa. OVER