wakili

Nizzo

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
95
Reaction score
37
salaam,nahitaji kujua gharama za wakili katika kesi inakuwaje? Kuna mtu katufungulia kesi ya madai ya uharibifu bomba la maji lenye gharama la tsh laki tatu mali ya serikali ya kijiji,je nikitafuta wakili atahitaji kulipwa shing ngap? Na sheria inasemaje kuhusu hilo kosa? Msaada tafadhari!!
 
Ni wapi kwanza maana kesi ya laki tatu inaweza kukugharimu fedha nyingi kwa wakili.
 
wakili kwa kesi ya laki tatu? haya bana ngoja wanasheria wanakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…