Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hatimaye kelele za Yanga wakimataifa leo zimeishia tamati baada ya kukatwa pumzi mapema na wekundu wa msimbazi, Simba. Simba wakicheza wachezaji 10 waliweza kutandika kandanda safi na kusababisha mabingwa hao maarufu "wakimataifa" Yanga kulala mapema kabisa na kulifanya Jiji la msomi Makonda kutulia.
Na kimya hiki Yanga wakiwa wameishiwa Pumzi. Sifa Na pongezi Kwa uongozi, makocha, Mo Dewji, Wachezaji wrote, wanachama na nashabiki.
Na kimya hiki Yanga wakiwa wameishiwa Pumzi. Sifa Na pongezi Kwa uongozi, makocha, Mo Dewji, Wachezaji wrote, wanachama na nashabiki.