Wakimataifa "Yanga" wekundu wa Msimbazi wamekata pumzi

Euphransia

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
937
Reaction score
778
Hatimaye kelele za Yanga wakimataifa leo zimeishia tamati baada ya kukatwa pumzi mapema na wekundu wa msimbazi, Simba. Simba wakicheza wachezaji 10 waliweza kutandika kandanda safi na kusababisha mabingwa hao maarufu "wakimataifa" Yanga kulala mapema kabisa na kulifanya Jiji la msomi Makonda kutulia.

Na kimya hiki Yanga wakiwa wameishiwa Pumzi. Sifa Na pongezi Kwa uongozi, makocha, Mo Dewji, Wachezaji wrote, wanachama na nashabiki.
 
Hawa maTeja na mpira wapi na wapi.. wabaki wauze Ngada Tu..
 
Jiji la msomi jamani jf acheni hizo Leo mtu kaombewa dua nyinyi wivu wa kike(in mkapa voice)
 
SIMBA SPORTS CLUB
S.L.P 5555
MSIMBAZI/DSM
25 FEB 2017

T F F
S.L.P 0001
KARUME/DSM

Ndugu,
YAH; KUCHEZESHA WACHEZAJI 9

somo tajwa hapo juu lahusika, kutokana na kasi mpya ya timu ya Simba ya 4G kuzishinda timu pinzani uwanjani, tunaomba turuhusiwe kuchezesha wachezaji 9 na kipa wa 10 uwanjani. Nimatumaini yetu ombi letu litakubaliwa.

Wako katika maendeleo ya soka
Haji S. Manala
Meneja Habari na Mahusiano
SIMBA SPORTS CLUB
 
Ahaaaaa manara shauri yako akikusikia Mzee Akili si mali Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…