Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine.
Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile wanayopewa wakimbizi wa DRC na Burundi?