Hao siyo wakimbizi ni watalii na kama serikali inawatumia hao kuomba fedha basi huo ni ufisadi!Wakimbizi wa Ukraine wanazurula tu mitaani Zanzibar km watalii ila hawa wa burundi na Kongo wamerundikwa kwenye makambi km wafungwa. Waafrika sjuu nani alituroga?
Kuna wale wawili waliokwamia Zanzibar kipindi vita inaanzaLeo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine.
Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile wanayopewa wakimbizi wa DRC na Burundi?
Sawa lakini wasiwe chanzo cha serikali kujidhalilisha na kuwatumia chanzo cha mapato!Kuna wale wawili waliokwamia Zanzibar kipindi vita inaanza
hawa jirani burundi na congo tukiwaachia huru watajichanganya itakuwa ngumu kuwakamata tena,maana ni weusi kama sisi,lakini wa ukraine ni ngumu kutoroka kambini...Wakimbizi wa Ukraine wanazurula tu mitaani Zanzibar km watalii ila hawa wa burundi na Kongo wamerundikwa kwenye makambi km wafungwa. Waafrika sjuu nani alituroga?
Tutafanyaje sasa, si ndiyo kamba zetu hao? Acha tule kwa urefu wao.Sawa lakini wasiwe chanzo cha serikali kujidhalilisha na kuwatumia chanzo cha mapato!