Hahahahahahhaahahahaha haki umenicheksha sana apo kweny wigii ukitaka kuachwa subutu kutoa wigi lake ndo utakapojua mbichi na mbivuKuna tabia moja mbaya sana akina dada mnaifanya, huwa mnapenda sana kututoa kofia tunazovaa kichwani (hasa kapelo) alafu mnaanza kukimbia nayo ili uonekane upo romantic, just imagine mi nikakutoa hilo wigi lako nianze kukimbia nalo utafurahi?
Fanyeni kile mnachopenda kufanyiwa na nyie