Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na furaha yani wanakua fresh na akili inafanya kazi mara 100 ya mtu asiyepata asubuhi,na hawana hatari ya kupata stress,msongo wa mawazo wala shinikizo la damu,na mtoto ambaye mimba inatungwa asubuhi anakua bright sana......msitubanie tukiomba cha asubuhi asubuhi ni muhimu kwa afya zetu.