Mnapendeza au mnakuwa kama mijusi ile myeupe ya ndani ambayo ikiwa na mayai tumboni waweza kuyaona kwa nje. Kwa kifupi mwanamke aliyejichubua anatia kinyaa...kwanza ngozi yake ikijashuka ananuka kama makalio ya mtu mnene
nilikuwa napga chabo kwa mbali mbali. Kulikoni bana bakari tupa tupa?
Ah nipo nipo tu wangu nimefulia...sina hili wala lile.
Huwezi kufulia bana. Dah! Ila nishaelewa. Pole sana.
Asante sana! Saa hivi nipo tu hapa nahangaika na hili gunia la misumari.
nipunguzie nikusaidie. Sipendi kuona unateseka(rose1980 atasibitisha hili). Lol
Madada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia, mdada mweusi/chocolate akipita kavaa kimini lazima udenda ukutoke kweli kweli lakini hao weupe hata akipita uchi mi naona bila bila.
Haya Jaribu kucompare hapo halafu mniambie....... Chocolate ni nomaView attachment 40975View attachment 40976View attachment 40977View attachment 40978View attachment 40979View attachment 40980
Kheee Auntie Mashauzi naye kapotelea wapi? Hebu mtafute aje afunguke kule bana....
nipunguzie nikusaidie. Sipendi kuona unateseka(rose1980 atasibitisha hili). Lol
mh? na uongo wenu tu huo
kama sio nyie kushobokea weupe basi carolita zisingekua na wateja.
We utakuwa rangi ya karoti!!!
cjaelewa maana yako hapa mkuuMadada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia, mdada mweusi/chocolate akipita kavaa kimini lazima udenda ukutoke kweli kweli lakini hao weupe hata akipita uchi mi naona bila bila.