Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Wakina dada kuwekeni makini na vipodozi vyenu mnavyotumia...
Madini chuma aina ya lid yanayopatikana kwenye vipodozi hivyo zaid ya 650 ni hatari sana tena sana, (kwenye rangi za kucha, kuset nywele/foundatio, mikorogo n.k) ndiyo chimbuko la ongezeko la tatizo la ushikaji mimba kwa akina dada.
Madini hayo ndiyo yanayochochea tatizo la uterath Mayona/Faibroad/ Uvimbe kwenye mji wa uzazi.
Faibrod wakati mwingine inapoota kwenye mji wa uzazi inakuwa kubwa kupita hata kizazi chenyewe..
Utakuta wanawake wengine wanakuwa na likitambi mithili ya Boss wa kitambi hicho humuondolea ule muonekano wake wa awali.
Ni wakati wenu wa kuvifuatilia hivi vipodozi kabla ya kuvitumia... Ndiyo tunajua TBS wanafanya kazi but ni lazima mtake risk.
Zaidi ya asilimia 30%-50% wana Faibrod wakiwa hawajijui.