Wakina dada migahawani mjitahidi usafi

Wakina dada migahawani mjitahidi usafi

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Asilimia 80 ya wakina dada wa migahawa mmekuwa ni wachafu sio tu mazingira hata usafi wa mwili badilikeni uwezi kumuhudumia mteja huku umejifunga kanga au kijora kichafu miguu imepauka
Ebu angalieni hizi uniform muone kama nigharama kuzinunua au ni nyinyi mmeamua kufanya kazi kimazoea
images (27).jpeg
images (26).jpeg
images (24).jpeg
▷ Delantales Vaqueros _ Qooqer · Qooqer.jpeg
images (21).jpeg
 
Maisha ya tamthiliya yanakupotosha wewe.

Unashindwa kujua kila Mgahawa Una aina yake ya wahudumu

Huko unakoenda kunywa chai wengi hulipwa 1K -2K sasa kupitia hiyo hela usitegemee ukamkuta msafi Kama hao unaowaona katika TV na google.
 
Mawazo mazuri lakini utekelezaji ni mgumu.Nimekula sana migahawa ya mitaani na kuyazoea mazingira hayo hadi ile hali nikaona ni sehemu ya kazi yao.Mola awaongoze vema mamalishe wote.
 
Watakubeza lakini umeandika ukweli,
Mama lishe wapewe elimu ya usafi kile ni chakula wanauza, ukiwa msafi na nadhifu inaongeza heshima kwenye biashara yako, haijalishi ni mtaji mdogo kiasi gan ukishaanza biashara usafi wa mwili na mazingira uwe kipaumbele chako.
 
Kikawaifa Wanao takiwa kupiga chakula ni wanaume, wanawake tuba wa force tu ila upishi ni kazi ya wanaume na sio wanawake
 
Maisha yapo katika viwango

Mtaani tunapokunywa chai 200 na andazi 100 unataka wadada wawe wasafi hii haiwezekani
 
Maisha yapo katika viwango

Mtaani tunapokunywa chai 200 na andazi 100 unataka wadada wawe wasafi hii haiwezekani
Mbona wanavyoenda kudanga wanakuwa wasafi wakiwa wamepanda boda shida Nini wakiwa eneo la kazi wanakuwa wachafu hata kuvaa nguo safi inashindikana huko ni kudharau wateja
Maisha ya tamthiliya yanakupotosha wewe.

Unashindwa kujua kila Mgahawa Una aina yake ya wahudumu

Huko unakoenda kunywa chai wengi hulipwa 1K -2K sasa kupitia hiyo hela usitegemee ukamkuta msafi Kama hao unaowaona katika TV na google.
 
Unapata kile unacholipia. Sasa unaenda sehemu ya kula ubwabwa wa buku jero halafu unataka 5 star service.
 
Back
Top Bottom