Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni gharama kiasi gani hizo uniform je boss anashindwa kununuaDada anayelipwa 2K Kwa siku unategemea atakuwa msafi Kama hao ambao u me download picha zao .?
Mbona wanavyoenda kudanga wanakuwa wasafi wakiwa wamepanda boda shida Nini wakiwa eneo la kazi wanakuwa wachafu hata kuvaa nguo safi inashindikana huko ni kudharau watejaMaisha yapo katika viwango
Mtaani tunapokunywa chai 200 na andazi 100 unataka wadada wawe wasafi hii haiwezekani
Maisha ya tamthiliya yanakupotosha wewe.
Unashindwa kujua kila Mgahawa Una aina yake ya wahudumu
Huko unakoenda kunywa chai wengi hulipwa 1K -2K sasa kupitia hiyo hela usitegemee ukamkuta msafi Kama hao unaowaona katika TV na google.
Mbona wanavyoenda kudanga wanakuwa wasafi wakiwa wamepanda boda shida Nini wakiwa eneo la kazi wanakuwa wachafu huko ni kudharau wateja