Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Haiwezekani mr Zero Iq hadi leo hana ata mdada mmoja huko Past Meridian (PM) wa kumliwaza ata kwa maneno matamu.
Wapi ;
Jolie Jolie.
demiss
Mama sabrina
Miss Natafuta.
Ata nyinyi mmeshindwa kuonyesha kawema kenu ata kidonchoo cha kuja kunifariji Huko ,
Acheni uoga wa kuogopa Primitive Mutual (PM) ya Mr Zero IQ mbona iko safe tu.
Nawakaribisha wadada wote mtakaopenda kujumuika na mimi Mr zero iq kule Poland Maintanace (PM) kwa wema kabisa.
Ukija leo basi utabarikiwa sana.