kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Aug 17, 2012 #1 Eti akivaa kofuli anawashwa jamani kama sio kutuharibia tu swaumu tuje kumfuturu bure AUNTY LULU: ALIYEFUNGASHIA - Global Publishers
Eti akivaa kofuli anawashwa jamani kama sio kutuharibia tu swaumu tuje kumfuturu bure AUNTY LULU: ALIYEFUNGASHIA - Global Publishers
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,682 Reaction score 10,801 Aug 17, 2012 #2 kama siyo msafi sishangai, kama anavaa kufuli za nailoni pia simshangai, ila kama yuko kibiashara anajua ndo wateja wake wanachohitaji
kama siyo msafi sishangai, kama anavaa kufuli za nailoni pia simshangai, ila kama yuko kibiashara anajua ndo wateja wake wanachohitaji
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 602 Aug 17, 2012 #3 anajua akiwashwa atapatiwa kidole mkunaji cha kiume bila shaka ni mfanyabiashara matangazoni.