Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Hili tukio limenisikitisha sana. Moto mkubwa ulitokea May, 28 siku 4 zilizopita katika shule ya bweni ya wasichana na kuua wanafunzi 16.
Siku chache baada ya wanafunzi 16 kuteketea kwa moto katika high school ya Utumishi Girls iliyopo Gilgil nchini Kenya, polisi wamefanikiwa kupata CCTV footage inayoonesha chanzo cha moto huo
Kwenye video wanaonekana wanafunzi 8 wakiingia kwenye bweni usiku wa manane ambapo wanafunzi wenzao wamelala, wakawasha moto sehemu ya kwanza, wakahamia sehemu nyingine wakawasha moto pia kisha wakakimbia na kuondoka wakiacha moto unaanza kuwaka bwenini humo, ambapo wanafunzi wenzao wamelala.
Baada ya muda moto ulipoongezeka wanafunzi bwenini wakashituka na wakaanza kupanic kujaribu kukimbia. Mbaya zaidi ule moto uliwashwa mlangoni ambayo ndio njia pekee ya kutokea kwa sababu mlango wa dharura nao ulikuwa umefungwa. Wakati wanafunzi wanapanic na kujaribu kutoka, wanafunzi 10 waliteketea kwa moto mlangoni na wengine 6 walifariki sehemu nyingine za bweni wakati moto huo unazidi kusambaa, kufanya idadi ya vifo kuwa 16.
CCTV footage inaonesha vizuri jinsi wanafunzi walivyoanzisha moto huo