All the bestWewe ndo foolish,Biblia na Quran zinaelekeza kila mwanaume aoe mwanamke bikra,Sasa sijui wewe unamuongelea Mungu yupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikua atajua tu na msichoke kuwaelewesha vijanaKwani usipewe? Yaani mke mwema kwako lazima awe bikra tofauti na hapo sio? Ndio maana nasema wewe ni mvulana, grow up
Sent using Jamii Forums mobile app
Karucee good pointUnafikiri kuwa mke mwema inakuja na label ya goodness?
Some men swear by single mothers wewe.
Wewe ndo foolish,Biblia na Quran zinaelekeza kila mwanaume aoe mwanamke bikra,Sasa sijui wewe unamuongelea Mungu yupi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sijawahi kumtelekeza Wala kumzalisha mwanamke kwanini nioe mwanamke alietelekezwaAcha kuwachukia single mother bila ya sababu za msingi na pia umesahau kuwa wanaume ndio tunasababisha kuwepo na single mother kwa sababu ya uongo wetu ktk mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwanamke mwenyewe anakudanganya kwamba Hana mtoto ili tu umuoe,it means anajua kabisa kwamba hatakiwi kuolewa akiwa Ana mtoto,labda Kama Ni mjaneKwa wanaume wa Dar inawezekana ...kwa sisi wa mikoani "single mother"ni mwanamke "mzinzi"wala hatuna haja nao wahamie tu kwa wenzao Dar
Usinijumuisha na Mimi,Mimi sijawahi telekeza mwanamkeKuna wanawake single mother wanajitambua kuliko hao unaowafikiria....mimba muwape muwakatae/teleKeza halafu mseme wasiolewe sio sawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usithubutu ukaoa,wewe piga amshaWananipenda sana siku hao single mother, nawaambia mim bdo mdogo hawaelewi!
Sent using Jamii Forums mobile app
He IS a dumb ass.I could be arguing with a dumbass...
Deuces.
Ngoja aje ulweso na khantwe wamwage mapovuKwa wanaume wa Dar inawezekana ...kwa sisi wa mikoani "single mother"ni mwanamke "mzinzi"wala hatuna haja nao wahamie tu kwa wenzao Dar