Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Aaaah! Wakinga Mbwana Kila siku kujimbwamba fai. Kua sijui mnamaghorofa kko sijui mna mambembele cargo. Lakini hayo yote ni sifa za kijinga kama kampuni Bora ya mabus itwayo ABC Ina wapeleka kwenu na inamilikiwa na wachaga ambao mnasema mmewapita kibiashara. Hii ni aibu kabisa