Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Feb 24, 2012 #1 Habari, Jamani huu msemo unaotumika sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuwalinda watoto hivi upo sahihi?
Habari, Jamani huu msemo unaotumika sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuwalinda watoto hivi upo sahihi?
N Njangula Senior Member Joined Oct 20, 2011 Posts 179 Reaction score 18 Feb 24, 2012 #2 Ina utata kwa vile inataka wewe ushirikiane na fataki kuwakinga uwapendao kumbe dhana halisi ni kumzuia fataki. Pia udondoshaji usio lazima umefanyika ktk neno "wakinge" badala ya "uwakinge". Nawasilisha.
Ina utata kwa vile inataka wewe ushirikiane na fataki kuwakinga uwapendao kumbe dhana halisi ni kumzuia fataki. Pia udondoshaji usio lazima umefanyika ktk neno "wakinge" badala ya "uwakinge". Nawasilisha.
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 Feb 24, 2012 #3 Mi naona wanatakiwa waseme (WAKINGE UWAPENDAO DHIDI YA FATAKI) kwenye red panahusika
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Feb 25, 2012 Thread starter #4 Kweli nine "DHIDI" ndio lingeweka maana sawa, hapo sentensi ya juu inamaanisha fataki nae tumkinge.