REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
ok.🐒Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba jiudhuru
Anza kichwani, hata nyoka ukimponda kichwa anakufa.Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba jiudhuru
Watatoana damu hawaImagine anatumbuliwa kisa connection. Haina comeback hiyo.
Rais mwenye connection nani atampa kura?
Hii vita ni kali.
JF sio Facebook mkuu,
Umeleta mada, elezea walau kiasi cha kueleweka na kila mtu, ambatanisha picha au video ikiwezekana.Kisha watu tujadili.
Hiyo umeandika ni kama text message
NB: No hard feelings
Yani wewe wa kujoing JF 2018 uniambir kuhusu JF ebu tuliaJF sio Facebook mkuu,
Umeleta mada, elezea walau kiasi cha kueleweka na kila mtu, ambatanisha picha au video ikiwezekana.Kisha watu tujadili.
Hiyo umeandika ni kama text message
NB: No hard feelings