Wakiristo Mtume Luka akiri mwenyewe wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za Yesu Kristo, nayeye kaamua kuandika kama alivyosimuliwa!

Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki

Dominica njema
waumini pamoja na muham mad aka allah wanaamini Al KITAB MUKADAS (Biblia Takatifu) makafiri innsui tu ndio hawaiamini!
👇🏽👇🏽
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا أُنزِلَ إِلَيْهِ مِن رَّبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ ۚ كُلٌّ آمَنَ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّن رُّسُلِهِ ۚ وَقَالُوا سَمِعْنَا وَأَطَعْنَا ۖ غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ

[ AL - BAQARA - 285 ]
Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na Waumini husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki

Dominica njema
Yaani Biblia iwe imetungwa, halafu miaka mia sita baadaye Quran inakuja kukopi hiyo biblia iliyotungwa, kisha mwamba mmoja mjinga kabisa miaka 2000 baadaye anakuja hapa JF kutuambia Quran ndio sahihi maana haikutungwa lakini ilikopi Biblia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…