Muda ukifika utajiambia mwenyewe, hutahitaji kuambiwa ingawa pia huwezi kutuziba midomo lazima tuseme na kukushauri kuoga maji ya bahariniWanawake tuna tabu sana....hadi kuolewa ni big deal,sijui mtu anaanzaje kuniambia siolewi asee!
Wanawake tuna tabu sana....hadi kuolewa ni big deal,sijui mtu anaanzaje kuniambia siolewi asee!
Mume aliyemuoa yuko wapi, au alijioa nini..!
kuna wengine ndo inakuwaga ntolee
No.. kwanini huoa na kuolewa?
yeah na mifano tunayoNa wengine wanalivaa gauni mara nne au zaidi
kuna nini tena my twin. Kuna mtu anakupangia cha kuandika?ππSawa mkuu,nimenyanyuka,nimewasha taa hapa najiangalia....kama kipo unachoweza kunifanya tafadhali naomba ufanye chap!!!