Wakisema haolewi haolewi siku yako inakuja wasikupangie

kuna nini tena my twin. Kuna mtu anakupangia cha kuandika?πŸ˜€πŸ˜€

Tatizo nakupenda sana my twin. Naandaa sime kabisa nasubiri ajipendekeze nitoke na sikio kama peterπŸ˜€πŸ˜€

Hilo sikio ukikata please naliomba...nna kazi nalo

Peter yupi?
 
yeah na mifano tunayo

Wastara wa sajuki kaolewa Mara tatu kwa ndoa za nguvu kabisa ni kismati TU haya mambo..hayanaga cha tabia nzuri wala nini


Ni kweli mkuu!hainaga kusema ni tabia nzuri au sijui heshima!sijui uzuri sijui dini hainaga!bora kulilia mengine sio ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…