Wakishinda huko Levi Mwanawasa Mjini Ndola ' Weekend ' hii nitaogelea kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar au Najinyonga kabisa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.

Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.

Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
 
Kama kungekuwa na mashindano ya wajinga na wapumbavu i guess huyu jamaa angeibuka kinara misimu mitatu mfululizo. Hivi Yanga ikitolewa hata hiyo michuano ya klabu bingwa utaifuatilia tena msimu huu?
Huyo Kapumbu angekuwa na uwezo hui unaounadi si angekuwa Ulaya muda huu?

Zesco ni timu ya kawaida sana. Yanga inalambanaga vikali kwenye mechi yenye pressure kubwa kama ile waliyocheza na Al Ahly pale Alexandria na dakika 90 ilikuwa moja moja.

Wakupigwa tano ni mikia.
 
Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.

Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.

Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
mikia FC aka GENTA.
 
Chagua tukuzike wapi?
 
Sisi hatupigwi hovyo hovyo km nyie usitufananishe kabisa Zesco mi timu kubwa sikatai lolote laweza kutokea naiamini timu yangu ila km mwanasport siwezi sema 100% naenda kushinda huo utakuwa ushabiki maandazi ila jua tu sisi tofauti sana na nyie tukiwa ugenini 5 Misri 5 Congo haaaaaahaaaaa halafu usijisahaulishe harusi yenu kule Kaitaba!
 
yanga anapata matokeo zambia na inapita kwa kishindo... tena umenikumbusha ngoja nimpigie wife aifue jez yangu ya yanga original chapa gsm.. ili jumamosi niwahi kwenye tawi la yanga mabibo hostel.. nichek game kwa mbwembwe na wanayanga wenzangu pale tawini....

karibu sana
 
Timu ya kipuuzi?wakati timu yako haina hata office..msouth office yake wapi????nendeni mkakarabati gofu lenu kwanza mengine yafuate ...Badala ya kumuuliza MO lini atatatoa 20B ...Mkia tulikuwa darasa moja form two B umefeli mtihani wa Taifa unarudia form two unamcheka anayeendelea form 3 utakuwa umerogwa
 
Njoo msimbazi ofisi zibo hadi za kuwapangisha vyura, lile ghofu pale matopeni limejaa popo
 
Sidhani
IMG_20190924_073826.jpeg
 
Back
Top Bottom