We jamaa waga boya sana, professional players ndo nini sasa?Professional players una mjua wewe????Kilaza.
Ligi ya Tanzania hakuna Professional players tuna Semi -Professional players,Mpaka mpira wetu ni Semi - professional ,Kama hutaki kukubali Acha.We jamaa waga boya sana, professional players ndo nini sasa?
Football Professional players- maana yake wachezaji wanaifanya kazi ya kucheza mpira katika full time basis yaani hawana kazi nyingine, hivyo wanalipwa.Ligi ya Tanzania hakuna Professional players tuna Semi -Professional players,Mpaka mpira wetu ni Semi - professional ,Kama hutaki kukubali Acha.
Ukute unayejiita profesheno hata kupiga dana dana tano huwezi.Wachezaji wetu bana hata kuongea ki professional hawajui.