Wakiugua wanaweka namba tuwachangia

Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha"
Maisha yao kila mtu ana demu mkali na kila mwanamke ana Sponsor mwenye hela au Handsome.

Lakini sasa tazama hii
1. Mume wa Zamaradi
2. Mume wa Shilole- Uchebe
😆😆
 
Hapo kafake nini sasa? Unadhani anashindwa kulipa milion 3 kwa mwezi?
Alafu hakuna mtu anakuja kukushikia panga utoe mchango,hayo ni maisha yake makasiriko ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…