wakizu

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,893
Reaction score
20,089
jamani anaelifahamu hili kabila na tabia zao naombeni info plz
 
wakizu au waikuzi kutoka mkoani Mara
 
Ni wazuri sana katika ukulima wa jembe la mikono.
 
duuh cjui ndo hao ngoja nichek
 
Ni wazuri lakini wana hasira ile mbaya, hawanaga dogo. Wananuna ht kwa jambo dogo, sikushauri kuoa huko.
 
Ni Waikizu. kabila kutoka mkoa wa Mara, asili yao ni kutoka eneo linaitwa Nyamuswa, Wilaya ya Bunda. Ndipo alipozaliwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Sinde Warioba.
Ni wajuaji sana, waongeaji sana, majungu n.k. Ila Wanawake waikizu kunako 6x6 ni hatarii, wanajituma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…