Wako huko kusini wanasifiana na kupongezana, sisi tuko gizani

Wako huko kusini wanasifiana na kupongezana, sisi tuko gizani

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Huko Mtwara na Lindi ni kupongezana na kusifiana tu, akili na mawazo yao yote ni kushinda kwa namna yoyote ile uchaguzi ujao, huku kwetu kila kitu kimesimama hakuna umeme kabisa!

Katiba mpya lazima vinginevyo watazidi kutuumiza na wao kunufaika na familia zao
 
20230919_183032.jpg
 
Back
Top Bottom