Wako wapi akina Belle 9 na Pasha?

ashera

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
502
Reaction score
1,048
Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha.

Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni soo. Naposikiliza hizi nyimbo mashetani yangu hunipanda mbaya nakuwa kama niko mbinguni. Bila kumsahau Banana Zorro.

True legends please toeni nyimbo mpya mimi shabiki yenu bado nawahitaji na nawakubali sana. Niko tayari kujitolea u video queen maana vigezo ninavyo. Popote mlipo jua mimi Ashera nawakubali kuliko kitu chochote. My all time bongo fleva artists, best of the best
 
Belle 9 yupo na ametoa ngoma, huyo pasha ndio sijui.
 
Ukiachwa kubali kuachika, mambo ya kumrubuni Pasha arudi kwa ajili yako tu ni kumponza... chagua wengine waliopo.

Inama nipachike rungu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hao Unaowaulizia Hukuwaona Kwenye Campaign Za Ccm
 
Belle tisa cjui nan anatembelea nyota yake yy na Malow yani tabu tupu wamepotea
Yani jamaa yuko vizuri sana. Nasikia hako kamchezo huwa kapo ka kuibiana nyota ingawa huwa siamini sana kwenye hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…