Wako wapi akina Belle 9 na Pasha?

Kama walikuwa kwenye kampeni za CCM basi kuanzia sasa nimewadharau, uzuri sikuwaona kwenye kampeni
Bell 9
Alifanya Show Bagamoyo Wakati Jiwe Anakwenda Tanga
 
Naikumbukaga pisi yangu kali ilikuwa inaupenda sana huu wimbo Hidaya!
Your browser is not able to display this video.
 
Belle9 anatoa nyimbo
 
Belle 9 kuna kipindi tulikuwa tunalima nae mpunga kule ifakara.. sijui kapotelea wapi now days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…