Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
 
Huyu hakutoka CHADEMA kwa hiari yake. Hakuwa na sababu ya kusubiri kufukuzwa na Ayatollah Mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…