Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Bado wanatoa mikopo?Branch mbna wako vizur up to date
Wanatoa vizur Sana , Jana tuu nimekopa 40000Bado wanatoa mikopo?
Mimi mbona wananikatalia na ni mateja mpyaWanatoa vizur Sana , Jana tuu nimekopa 40000
Ulishawahi kuwacheleweshea mkopo tangu umeanza kukopa?Wanatoa vizur Sana , Jana tuu nimekopa 40000
Chukua alafu unikopeshe kwa mwezi, nitakupa na riba, nipo serious.Airtel wananilazimisha wanikopeshe laki 2 kasoro nimewakatalia
Mkuu hii kitu ukiizoea unakuwa km mtu wa kubeti..Chukua alafu unikopeshe kwa mwezi, nitakupa na riba, nipo serious.
Wameshazikusanya kutoka kwa wajinga so wako kufanya mengine 🏃🏃Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti. Ilifikia pahala Tala wakatuondokea bila taarifa yeyote ya kueleweka kitendo kilichotuumiza sana tuliokuwa wateja wao. Branch nao mpaka sasa hawaeleweki kuwa wanaotoa mikopo ama lah. Hii ni kwasababu wateja wa Branch waliokuwa wamekopa awali, wanadai kuwa kila wanaporejesha mikopo yao basi hawapewi tena wanapojaribu kuomba. Mpaka sasa hatujafahamu nini changamoto kubwa inayo kwamisha kampuni hizi mbili.
Tatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,Mkuu hii kitu ukiizoea unakuwa km mtu wa kubeti..
Inabidi uwe na biashara yenye faida nzuri ndipo utanufaika..ukikopa Bila tarTatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Ni nzuri ukiwa na biashara yenye faida ya papo kwa papo..ukikopa Bila Target Ni balaaTatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Ni kweli kiongoziInabidi uwe na biashara yenye faida nzuri ndipo utanufaika..ukikopa Bila tar
Ni nzuri ukiwa na biashara yenye faida ya papo kwa papo..ukikopa Bila Target Ni balaa
We mzembe, mpaka muda huu una 40 tu? Ongeza speed aseeWanatoa vizur Sana , Jana tuu nimekopa 40000
Umefika ngapi?We mzembe, mpaka muda huu una 40 tu? Ongeza speed asee
Kweli. Nilikopa branch 20,000 nikaambiwa nirejeshe 24,000. Kwenye kuitoa nikakatwa kama 2,000. Kwenye kurejesha nikakatwa tena 1,000. Jumla ni 7,000 ilinitoka. Sikuwahi kukopa tenaTatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Wanatoa mkuu, hata mimi mwenyewe hapa juzi nilipofulia wamenikopeshaBado wanatoa mikopo?